Msafara wa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda alipotembelea Daraja la Kikwete lililopo mto Malagarasi, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma. |
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja viongozi mbalimbali wa Serikali na wakandarasi wa daraja hilo hivi karibuni. |
mounekano wa picha ya daraja la kikwete lililopo Mto Malagarasi Mkoani Kigoma, mara baada ya ujenzi kukamilika. |
(Picha zote na Gabriel Ng'honoli-Afisa Habari Mkoa wa Kigoma)
No comments:
Post a Comment