Wednesday, 11 December 2013

Maadhimishoo ya wiki ya wavuvi Kitaifa yafanyika Mkoani Kigoma

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi Peter Heri Killewo akitoa neno siku ya maadhimisho ya Wiki ya Wavuvi Kitaifa yaliyofanyika  Mkoani Kigoma mapema mwishoni mwa mwezi Oktoba, kushoto kwake ni
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Ramadhani Athuman Maneno

Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Ramadhani Athuman Maneno akiteketeza nyavu haramu ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika siku ya maadhimisho ya Wiki ya Wavuvi Kitaifa yaliyofanyika  Mkoani Kigoma mapema mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Nyavu haramu zilizokamatwa kwa kipindi cha mwaka 2012/2013 zenye thamani ya Shilingi 150 milioni zikiwekwa tayari kwa kuteketezwa siku ya maadhimisho ya Wiki ya Wavuvi Kitaifa yaliyofanyika  Mkoani Kigoma mapema mwishoni mwa mwezi Oktoba
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Ramadhani Athuman Maneno akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali namna samaki anavyoweza kusafirishwa akiwa hai siku ya maadhimisho ya Wiki ya Wavuvi Kitaifa yaliyofanyika  Mkoani Kigoma mapema mwishoni mwa mwezi Oktoba
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Ramadhani Athuman Maneno akitoa zawadi na vyeti kwa washiriki wa maonesho na mashindano Wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya
Kikundi cha wasanii wa kitoa burudani siku ya maadhimisho ya Wiki ya Wavuvi Kitaifa yaliyofanyika  Mkoani Kigoma mapema mwishoni mwa mwezi Oktoba.


Picha zote na G.D. Ng'honoli-Afisa Habari wa RS Kigoma

No comments:

Post a Comment