Wednesday, 11 December 2013

Wananchi Wilayani Uvinza waishukuru serikali kwa kuwanunulia Kivuko kipya


Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Waziri wa Ujenzi akiteta jambo na Mhe. Issa Salehe Machibya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma(kushoto) pamoja na Mhe. Danhi Beatus Makanga Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Wakati wa Mapokezi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal (hayupo pichani) katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma mapema mwezi Novemba 2013.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal akifuraha burudani kutoka kikundi cha warumba asilia muda mfupi alipowasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma mapema mwezi Novemba 2013


Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Issa Salehe Machibya akifurahia mara baada ya kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma

Vijana wa JKT Bulombora wakitumbiza siku ya uzinduzi wa Kivuko kipya cha MV Malagarasi Wilayni Uvinza

Kivuko cha zamani cha MV Ilagala

Kivuko kipya cha MV Malagarasi


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal ( alivaa tai ya bluu) akifurahia jambo mara baada ya Kuzindua Kivuko kipya cha MV Malagarasi wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma mapema mwezi Novemba 2013, kushoto kwake ni  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Waziri wa Ujenzi

No comments:

Post a Comment