Tuesday, 7 January 2014

Maafisawa JWTZ kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa walipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Kigoma.

 Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Luteni  Kanali (Mst)  akiwasilsha Taarifa ya Mpango wa Maendeleo ya Mkoa wa Kigoma, na fursa mbalimbali zinazopatikana Mkoani humo.

Wajumbe kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa, Kamati ya Ulinzi wa Mko wa Kigoma na baadhi ya Maafisa wa Sekretarieti  ya Mkoa wa Kigoma wakifuatilia Taarifa ya Mkoa wa Kigoma Kutoka kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma 
(hayupo pichani).

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi Peter Killewo akitoa neno la ukaribisho kwa ugeni kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa walipotembelea Mkoani Kigoma hivi kaibuni.

Kanali K.P Njelekea kutoka JWTZ akichangia neno Wakati wa kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kilichofanyika mapema wiki hii katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Mhandisi Peter Killewo akifafanua jambo mbele ya ugeni kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa walipotembelea Mkoani Kigoma hivi kaibuni.

Kanali S. Oluka kutoka Kenya akichangia neno Wakati wa kikao na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kilichofanyika mapema wiki katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Luteni  Kanali (Mst)  akipokea zawadi ya ngao ya Taifa kutoka kwa  Meja Jenerali Ipanda .

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Luteni  Kanali (Mst)  akipokea zawadi ya Kitabu cha wageni cha JWTZ kutoka kwa  Meja Jenerali Ipanda aliyesimama katikati ni Kanali M.R. Tongora.

Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma na Ujumbe kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa wakiwa katikaka picha ya pamoja mara baada ya kikao katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma  mapema wiki hii.
Picha zote na G.D. Ng'honoli- Afisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kigoma

No comments:

Post a Comment