Saturday 24 May 2014

Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa Kigoma chafanyika

Wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kigoma wakimsikiliza Menyekiti wa Kikao hicho ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Lt. Col. (mst.) Issa S. Machibya kilichofanyi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Lt. Col. (mst.) Issa Machibya akikabidhi Kitabu cha Mpango wa kampeni ya kupunguza vifo vya Kinamama wajawazito na Watoto wachanga kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Mhe. Ramadhani Maneno, Kampeni hii imezinduliwa hivi karibuni na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Lt. Col. (mst.) Issa Machibya akikabidhi Kitabu cha Mpango wa kampeni ya kupunguza vifo vya Kinamama wajawazito na Watoto wachanga kwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Mhe. Peter Toima Kiroya, Kampeni hii imezinduliwa hivi karibuni na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Lt. Col. (mst.) Issa Machibya akikabidhi Kitabu cha Mpango wa kampeni ya kupunguza vifo vya Kinamama wajawazito na Watoto wachanga kwa Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mhe. Charles Gishuli,  Kampeni hii imezinduliwa hivi karibuni na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Mkoa Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma Bw. Georges Bussungu akitoa taarifa ya Mpango mzima wa Bajeti ya Mkoa wa Kigoma na utekelezaji wake kwa mwaka 2014/205 wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa.

Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Mkoa Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma Bw. Georges Bussungu akitoa taarifa ya utekelezaji wa uendelezwaji wa eneo maalumu la uwekezaji Kigoma Special Economic Zone (KiSEz) wakati wa kikao cha kamati ya Ushauri ya Mkoa kilichofanyika katika Ofisi a Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Eng. Dkt. John S. Ndunguru akitoa maelekezo wakati wa kikoa cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa Kilichofanyika Katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma  mwishoni mwa wiki hii.



No comments:

Post a Comment