Sunday, 15 June 2014

MAMA SALMA KIKWETE AWASILI MKOANI KIGOMA KUADHIMISHA SIKU YA DAMU SALAMA

Mama Salma Kikwete akiwasili katika Uwanja wa ndege Mkoani Kigoma.

Watoto wakimpa zawadi ya maua Salma Kikwete kama ishara ya ukaribisho Mkoani Kigoma.

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Lt. Col. (mst.) Issa Machibya mara baada ya kuwasili Mkoani humo.

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uchangiaji damu Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Lt. Col. (mst.) Issa Machibya mara baada ya kuwasili Mkoani humo.

Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma Dkt. Warid Kabouru.

Mama salma Kikweta akisalimiana na Mkurugenzia wa Damu salama wa Kanda ya ziwa Dkt. Ipyana Ikiganuka muda mfupi alipowasili katika uwanja wa ndege Mkoani Kigoma.

Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuwasili Mkoani humo.

Mama Salma Kikwete akishiriki ngoma ya asili mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment