Friday, 13 June 2014

MKUTANO WA WADAU WA MFUKO WA BIMA YA AFYA MKOANI KIGOMA


Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Bima ya Afya Mhe. Ali  Mchumo akikabidhi mashuka katika Hospitali ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, jumla ya mashuka 100 yeye thamani ya shilingi 2.5 milioni yalikabishiwa.

Dkt. John Maginga Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji akitandika shuka katika moja ya Wodi ya Hositali ya Manispaa, mashuka hayo yalitolewa na Shirika la Mfuko wa Bima ya Afya, aliyesimama pembeni ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF Nchini Mhe. Balozi Ali Mchumo.
Baadhi ya wadau wa mfuko wa Bima ya Afya NHIF Mkoani Kigoma wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo nchini Balozi Ali Mchumo.


Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ya Afya NHIF Nchini Balozi Ali Mchumo akizungumza na wadau wa mfuko wa NHIF Mkoani Kigoma namna NHIF ilivyojipanga kutatua kero za wadau kwa kuboresha upatikanaji wa dawa, vifaa tiba kwa wanachama wake nchini kote.

No comments:

Post a Comment