Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia Jenerali
Emanuel Maganga akisikiliza kero mbalimbali katika Kijiji cha Nkungwe Wilayani
Kigoma.
|
Meneja wa SIDO Mkoa wa Kigoma Bw. George Ntahamba
akitoa ufafanuzi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia Jenerali Emanuel
Maganga wa namna SIDO inavyowasaidia wajasiriamali Mkoani Kigoma.
|
Sehemu ya eneo la SIDO lililotengwa maalum kwa Shughuli
za kuchakatia mazao ya mchikichi.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia Jenerali
Emanuel Maganga akitoa maelekezo ya uboreshaji Miundombinu katika Soko la
Mwanga Sokoni lililopo eneo la Manispaa ya Kigoma Ujiji.
|
Vichanja vya Kisasa vitakavyotumika kuanikia dagaa
katika Mwalo wa Kibirizi ufukweni mwa Ziwa Tanganyika, vichanja hivyo
vimejengwa kwa msada kutoka Shirika la Maendeleo la Ubelgiji.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia Jenerali
Emanuel Maganga akisikiliza kero kutoka kwa wafanyabiashara eneo la Mwalo wa
Kibirizi uliopo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia Jenerali
Emanuel Maganga akikagua utunzaji wa vyanzo vya maji katika kijiji cha Kagongo
Katika Halmshauri ya Wilaya ya Kigoma.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brigedia
Jenerali Emanuel Maganga wakikagua ujuenzi unaoendelea katika daraja dogo katika
kijiji cha Bitale iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma.
|
No comments:
Post a Comment